UMATI ULIOJITOKEZA KUMSINDIKIZA ASHA MUHAJI KATIKA SAFARI YAKE YA MWISHO LEO DAR ES SALAAM - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Thursday, 26 March 2020

UMATI ULIOJITOKEZA KUMSINDIKIZA ASHA MUHAJI KATIKA SAFARI YAKE YA MWISHO LEO DAR ES SALAAM

Umati wa watu uliojitokeza kwenye mazishi ya aliyewahi kuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba SC, Asha Muhaji jioni ya leo kwenye makaburi ya Mwinyi Mkuu, Magomeni Jijini Dar es Salaam. Asha Muhaji aliyekuwa mwandishi wa habari za michezo katika magazeti mbalimbali nchini, alifariki dunia jana mchana katika hosptali ya Hindu Mandal Jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu