KWA BERNARD MORRISON WA YANGA SC, MAZOEZI NI POPOTE KIPINDI HIKI CHA MLIPUKO WA VIRUSI VYA CORONA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Thursday, 26 March 2020

KWA BERNARD MORRISON WA YANGA SC, MAZOEZI NI POPOTE KIPINDI HIKI CHA MLIPUKO WA VIRUSI VYA CORONA

Winga Mghana wa Yanga SC, Bernard Morrison akifanya mazoezi ya kuruka kamba katika maegesho ya magari kwenye nyumba anayoishi eneo la Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam kujiweka fiti kipindi hiki ambacho klabu yake imesimamisha mazoezi ya timu kwa agizo la Serikali kufuatia mlipuko wa virusi vya corona dunaini kote