UEFA YAIFUNGIA MANCHESTER CITY MIAKA MIWILI LIGI YA MABINGWA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Saturday, 15 February 2020

UEFA YAIFUNGIA MANCHESTER CITY MIAKA MIWILI LIGI YA MABINGWA

KLABU ya Manchester City jana ilifungiwa kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa kwa misimu miwili ijayo.
Mabingwa hao wa England wamechukuliwa hatua hiyo baada ya kuvunja kanuni ya matumizi ya fedha kiungwana katika usajili ambayo imewekwa na Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA).
Manchester City wanashutumiwa kufanya makosa hayo kati ya mwaka 2012 na 2016 na pamoja na kufungiwa, pia wamepigwa faini ya Pauni Milioni 25.