ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU MZUMBE 2018/2019 | EDUSPORTSTZ -->

Type something and hit enter

OnPakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa chuo kikuu mzumbe imeambatanishwa mwishoni mwa posti hii.
Chuo kikuu cha mzumbe kilichopo mkoani Morogoro wilaya ya mvumero, kimetangaza majina ya wanafunzi walioomba kujiunga na masomo ya degree kwa mwaka wa masomo 2018/2019.

 Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa imeambatanishwa mwishoni mwa posti hii.

Ujumbe kutoka  chuo kikuu mzumbe kwa waombaji wote 

Dear applicants, we congratulate all those who are selected to join various undergraduate programmes in this first round of selection. It is important to note that those who have multiple selections (that is, they have been selected in more than one University) they have to confirm to only one University. In order to confirm to Mzumbe University, please log in hereand enter the secret CODE that was sent to your phone number that you used when applying to Mzumbe University, in the text box provided and click confirm.
Those who are not selected in the first round, please log in here and you will find the reasons as to why you are not selected. Please use the correct username and password as you entered when you were creating your account. First round selection was based on ranking of academic performance according to the three choices you made and the capacity of the programme (total number of the students in the particular programme). Ina that case, you can now log into your accounts and select same/new programmes depending on whether those programmes still have vacancies for selection. If you see any programme available for selection, then you can select it depending on your qualifications. Please read carefully minimum qualifications before you select programmes.
Those who did not meet minimum qualifications or they did not follow proper procedures during the first round of application, they are required to log into their respective accounts and re-start again their applications. You may change level from Bachelor to Diploma or from Diploma to Certificate depending on your academic qualifications. This will require you to pay once again application fee.

 BOFYA HAPA KUONA MAJINA YA WALIODAHILIWA CHUO KIKUU MZUMBE

Pia pitia link hizi kwa orodha ya vyuo vingine
Pakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

6 komentar

avatar

wanafunzi waliochaguliwa ifm

avatar

Naombeni mrudie mfumo Wa zamani ambapo TCU inahusika kuwapangia wanafunzi vyuo direct maana huu mfumo Wa ku-comfirm unasumbua maana sio kila mtu anaweza kufanya ivyo vinginevyo kidato cha sita wawe wanafundishwa namna ya kufanya ivo kabla ya kumaliza shule

avatar

link angalia katika lable ya lesson

avatar

POST ZA AWAMU YA 2 LINI?

avatar

Vipi majina ya awamu ya pili mzumbe na udom mbona sijaona au bado

Click to comment
 
Blog Meets Brand