-->

Type something and hit enter

By Onpicha za basi liliogongana natreni

Habari tulizozipata kutoka mkoani Kigoma asubuhi hii ya Jumatano Juni 6,2018 ni kwamba basi la Hamida Trans lenye namba za usajili T 885 DLD lililokuwa linatoka Kigoma kwenda wilaya ya Nzega mkoani Tabora limegonga treni ya mizigo 'Garimoshi la mizigo) katika eneo la Gungu Mjini Kigoma.Mwandishi wetu anasema ajali hiyo imetokea leo alfajiri, mpaka sasa idadi ya vifo na majeruhi bado haijajulikana,Tutawaletea taarifa kamili hivi punde
PICHA ZA MATUKIO HAPA CHINIEDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ

Click to comment
 
Blog Meets Brand