SOMA LICHOPOST NAPE MNAUYE BAADA YA KINANA KUJIUZULU - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Tuesday, 29 May 2018

SOMA LICHOPOST NAPE MNAUYE BAADA YA KINANA KUJIUZULU


Nape mnauye

Jana  May 28, 2018 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli, aliridhia uamuzi wa kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana.

Baada ya taarifa hiyo kutolewa aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye liandika katika ukurasa wake wa Twitter Nanukuu “Pumzika Rafiki wa kweli, pumzika Mlezi na Mzazi usiyemfano, pumzika Kiongozi, pumzika Komredi. Mwalimu uliyebadili mtazamo wetu juu ya siasa na utumishi kwa umma! TUTAKUENZI DAIMA! Cde. Kinana! Umepanda mbegu na ITAOTA!”

''Pumzika Rafiki wa kweli, pumzika Mlezi na Mzazi usiyemfano, pumzika Kiongozi, pumzika Komredi. Mwalimu uliyebadili mtazamo wetu juu ya siasa na utumishi kwa umma! TUTAKUENZI DAIMA! Cde. Kinana! Umepanda mbegu na ITAOTA!''

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ

a