TAARIFA YA SERIKALI KWA AJIRA MPYA 6180 PAMOJA NA VIGEZO HUSIKA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD EDUSPORTSTS NEWS APP HAPA

Friday, 11 May 2018

TAARIFA YA SERIKALI KWA AJIRA MPYA 6180 PAMOJA NA VIGEZO HUSIKA


 Serikali kupitia Ofisi ya Rais –TAMISEMI siku ya jana tarehe10 itangazai nafasi za kazi 6,180 katika sekta ya Afya ikiwemo Madaktari, Wafamasia, Wauguzi, Tabibu, Wahudumu wa afya nk, lengo likiwa kuhakikisha kuwa upungufu wa Watumishi wa ya afya unatatuliwa.

Waziri wa TAMISEMI Seleman Jafo amekaa mbele ya wandishi wa habari na kuzitangaza fursa hizo na kusema wajitokeze watu walio na sifa za taaluma hizo za afya na kuomba nafasi hizo ili waweze kuajiriwa na kutoa huduma kwa wananchi.

Aidha Waziri Jafo amezitaja sifa za waombaji wanazotakiwa kuwa nazo kuwa awe Raia wa Tanzania, aambatanishe nakala ya vivuli vya vyeti halisi vya kidato cha nne na cha sita, aambatanishe kivuli cha cheti cha taaluma anayoombea ajira kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) au chombo kinachotambulika na serikali kinachotoa usajili nk.

Taarifa kamili ya serikali na vigezo vya Ajira hii hapa. EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ