FAHAMU TEUZI 10 ALIZOFANYA RAIS JPM SIKU YA LEO - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Wednesday, 18 April 2018

FAHAMU TEUZI 10 ALIZOFANYA RAIS JPM SIKU YA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuri amefanya tauzi 8 za makamishina wa tume ya madini pamoja na kumteua profesa Kikuka kuwa mwenyekiti wa tume hiyo.

Katika teuzi hizo Rais pia amemteua balozi mstaafu  Daniel Ole  Njoolay kuwa mwenyekiti wa bodi ya mpango wa kurasimisha Rasiamali na biashara za wanyonge Tanzania. 
Barua rasmi ya teuzi hizo hii hapa 👇 

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment