VIDEO-AJALI YA DALADALA ILIYOGONGA MAGARI MAWILI TEMEKE - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Thursday, 1 March 2018

VIDEO-AJALI YA DALADALA ILIYOGONGA MAGARI MAWILI TEMEKE


AJALI mbaya ya gari imetokea leo Machi 1, 2018, maeneo ya Temeke, baada ya basi ya abiria (Daladala)aina ya Nissan, kugonga magari madogo mawili yaliyokuwa yameegeshwa kando ya barabara ya kuelekea katika Soko la Stereo wakati mvua zikinyesha.

Tutumie video ya tukio lolote ambalo limetokea hapo ulipo kupitia WhatsApp 0753 715 779 tutakulipa mkwanja papo hapo.


EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au
kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.Enter your email address:

Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ