TANZIA; DIWANI WA CHADEMA AUAWA KWA MAPANGA NA WATU WASIOJULIKANA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Thursday, 22 February 2018

TANZIA; DIWANI WA CHADEMA AUAWA KWA MAPANGA NA WATU WASIOJULIKANA

Diwani wa kata ya Namwawala kupitia Chadema ndugu.Godfrey Luena ameuwawa kwa kukatwakatwa na watu wasiojulikana usiku huu mara baada ya kuvamiwa akiwa nyumbani kwake.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahari pema peponi.
taarifa nyinginezo utaletewa punde
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ