BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Thursday, 8 February 2018

ODINGA ADAI UCHAGUZI UFANYIKE UPYAKiongozi wa upinzani nchini Kenya kupitia NASA, Raila Amollo Odinga, ametaka kufanyika kwa uchaguzi mkuu mpya tena mwezi Agosti mwaka huu 2018.Akizungumza na BBC Raila Odinga amesema hamtambui Uhuru Kenyatta kama Rais wa nchi hiyo kwani hana kibali cha watu, ingawa hana lengo lolote la kupambana na serikali ya Kenyatta.


"Hatutamtoa Uhuru Kenyatta Ikulu anaweza kuendelea kukaa kwa amani, lakini hatuutambui Urais wake kwa sababu uko kinyume, tunataka uchaguzi mwingine na kwa mujibu wa ratiba yetu utakuwa Agosti mwaka huu”, amesema Raila Odinga.


Hivi karibuni kiongozi huyo wa upinzani nchini Kenya alijiapisha na kuwa Rais wa watu, akisema yeye ndio chaguo la watu kuwaongoza na sio Uhuru Kenyatta.


EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO


EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment