MADIWANI WENGINE WAWILI WA CHADEMA WAHAMIA CCM MKOANI MARA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Wednesday, 28 February 2018

MADIWANI WENGINE WAWILI WA CHADEMA WAHAMIA CCM MKOANI MARACCM YAVUNA MADIWANI WAWILI NA WANACHAMA 20 TOKA CHADEMA


Leo February 28, 2018 Stori zinazohusu Madiwani kuhamia Chama cha Mapinduzi zinaendelea kushika headlines ambapo Madiwani wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wamejiuzulu nafasi zao na kuhamia CCM kwa madai ya kumuunga mkono Rais Magufulikatika utendaji wake wa kazi.

Madiwani hao ni Joseph Mongita aliyekuwa Diwani wa kata ya Machila pamoja na Mikael Macheba Kunani aliyekuwa Diwani wa kata ya Ikoma.

Wakizungunza baada ya kujiuzulu wamesema kwa kipindi chote walipokuwa Viongozi walikuwa wakitekeleza ilani ya CCM.

FULL VIDEO: SUGU NA MASONGA WAKIPELEKWA GEREZANI, BONYEZA PLAY


EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ