LWAKATARE AZUIWA KUFANYA MKUTANO KISA MAANDAMANO - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Wednesday, 28 February 2018

LWAKATARE AZUIWA KUFANYA MKUTANO KISA MAANDAMANOMBUNGE wa Bukoba Mjini, Wilfred Lwakatare amezuiwa na Jeshi la polisi nchini kufanya mkutano wa hadhara ambao ulipangwa kufanyika leo Februari 28, 2018 jimbo Bukoba Mjini katika uwanja wa Soko la Rwamishenye.


Taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi inasema wamezuia mkutano huo kutokna na hali ya usalama katika wilaya hiyo na kuhusu taarifa za watu kushawishiwa kuandamana kwenye mitandao ya jamii.

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ