WATU 20 WAFARIKI MKOANI DODOMA KWA UGONJWA WA KIPINDUPINDU NDANI YA SIKU 150 - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Tuesday, 20 February 2018

WATU 20 WAFARIKI MKOANI DODOMA KWA UGONJWA WA KIPINDUPINDU NDANI YA SIKU 150
Habari kutokea Dodoma zinaeleza kwamba Watu 20 wamefariki dunia mkoani humo kufuatia kuzuka kwa mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu kuanzia mwezi October mwaka jana wakati na wengine 471 wakiripotiwa kutibiwa hospitalini.

Kwa mujibu wa Mganga mkuu wa mkoa Dr James Kiologwe amesema idadi ya wagonjwa imezidi kuongezeka huku kwa siku ya jana pekee walipokea jumla ya wagonjwa kumi katika vituo vya afya na hospitali mbalimbali za mkoani humo .EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au
kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.

Enter your email address:

Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ