SABABU ZA DIWANI WA ARUSHA MJINI KUHAMIA CCM NA KUTOKA CHADEMA - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Wednesday, 21 February 2018

SABABU ZA DIWANI WA ARUSHA MJINI KUHAMIA CCM NA KUTOKA CHADEMA


Msofe diwani wa jimbo la Arusha Mjini amejiuzulu nafasi yake nakuhamia CCM kwa madai ya kumuunga mkono Raisi Magufuli.

Pamoja na mambo mengine Prosper Msofe amesema CHADEMA kimekuwa chama kinachoongozwa na Mbunge Lema katika mkoa wa Arusha na ameadai kuwa meya amekuwa akikataa kuambiwa ukweli.

Mkurugenzi wa jiji la Arusha Athumani Kihamia amekiri kupokea barua hiyo na zikiwemo barua za madiwani wengine wa CHADEMA kujiuzulu nafazi zao hizo kwa madai wa kuhamia CCM

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment