BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 2 February 2018

BADNEWS; KINGUNE NGOMBALE MWIRU AFARIKI DUNIA ALFAJIRI YA LEO IJUMAA YA TAREHE 02
Habari tulizozipokea hivi punde zinasema kuwa mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Mzee Kingunge Ngombale Mwiru amefariki dunia leo alfajiri Ijumaa Februari 2,2018 wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam.


Mzee Kingunge alikuwa kiongozi mwandamizi nchini Tanzania katika serikali za awamu n;ne zilizopita naamewahi kushika nyadhifa mbalimbali katika serikali zikiwemo ukuu wa mikoa ya Tanga na Singida, Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi na Waziri katika wizara mbalimbali.


Ndugu Kingunge Ngombale Mwiru atakumbukwa kwa kulitumikia taifa la Tanzania kwa uadilifu mkuu na uzalendo uliotukuka unaofaa kuigwa na vizazi vya sasa na vijavyo. EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment