BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Wednesday, 28 February 2018

28 February

ORODHA YA WABUNGE 13 WENYE KESI MAHAKAMANI

Jengo LA bunge la Tanzania Dodoma

Gazeti la Mwananchi toleo la leo limewataja na kueleza kesi zinazowakabili. Wabunge hao nikama ifuatavyo!
Orodha ya wabunge wanaokabiliwa na kesi mbalimbali mahakamani

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:

Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ
28 February

ORODHA YA NYIMBO 15 ZILIZOFUNGIWA NA TCRA LEO

Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania

Mamlaka ya Mawasiliano(TCRA) imepokea orodha ya nyimbo 15 zisizokuwa na maadili kutoka Baraza la Sanaa la Taifa(BASATA).

Mamlaka ya Mawasiliano(TCRA) imekataza nyimbo hizo kuendelea kurushwa kwenye vyombo vya habari mara moja, kituo kitakachokiuka amri hii kuchukuliwa hatua za kisheria.

Nyimbo hizo zina maadili ambayo ni kinyume na maadili na kanuni za huduma za utangazaji (Maudhui) 2005.
TCRA
Orodha ya nyimbo zilizofungiwa
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:

Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ
28 February

MATOKEO YA MCHEZO WA LEO NA MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA

Kikosi cha kwanza cha yanga
Kikosi cha time ya yanga

MATOKEO

Katika mchezo wa leo, mabigwa watetezi wa kombe la vpl Yanga imepata ushindi wa kwanza dhidi ya Ndanda FC katika dimba la Nangwanda Sijaona, ukiwa pia ni ushindi wao wa sita mfululizo katika ligi.
Mabao ya yanga dhidi ya ndanda fc

MSIMAMO

 Baada raundi ya 19 kukamilika, msimamo wa VPL unaonesha Yanga ikizidi kuifukuzia Simba kileleni huku tofauti ikiwa ni pointi tano pekee, wakati Ndanda FC ikiendelea kubaki katika nafasi yake ya 13.

  EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:

Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ
28 February

LWAKATARE AZUIWA KUFANYA MKUTANO KISA MAANDAMANOMBUNGE wa Bukoba Mjini, Wilfred Lwakatare amezuiwa na Jeshi la polisi nchini kufanya mkutano wa hadhara ambao ulipangwa kufanyika leo Februari 28, 2018 jimbo Bukoba Mjini katika uwanja wa Soko la Rwamishenye.

Taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi inasema wamezuia mkutano huo kutokna na hali ya usalama katika wilaya hiyo na kuhusu taarifa za watu kushawishiwa kuandamana kwenye mitandao ya jamii.

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:

Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ
28 February

TAARIFA NJEMA KUHUSU BOCCO WA SIMBA

Mshambuliaji wa 
klabu ya soka ya Simba SC, John Bocco ameelezwa kupona majeraha aliyoyapata kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mwadui FC na muda wowote ataanza kucheza kama kocha atampanga.

Afisa habari wa Simba Haji Manara amethibitisha hilo wakati akijibu maswali ya mashabiki wa klabu hiyo waliokuwa wanataka kujua hali ya nahodha huyo wa Simba kupitia ukurasa wake wa Instagram.

''Niwajuze tu kuwa hali ya Bocco anaendelea vizuri na yupo tayari kucheza kama kocha atampanga'', Manara alimjibu moja ya mashabiki waliouliza.

Aidha Manara ameongeza kuwa majeruhi pekee aliyebaki kwenye kikosi cha Simba ni Haruna Niyonzima ambaye hivi karibuni alipelekwa India kwaajili ya matibabu na Manara ameongeza kuwa naye yupo mbioni kurejea.

Majeruhi wengine wa muda mrefu ndani ya kikosi cha Simba ambao tayari wameanza mazoezi mepesi ni mlinda mlango Said Nduda na mlinzi Salim Mbonde ambao wote wamesajiliwa msimu huu wakitokea Mtibwa Sugar.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:

Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ
28 February

MJUE ATAKAYE KUWA MANEJA WA KAMPAINI ZA TRUMP 2020

Trump anaamini Parscale atasaidia kushinda tena kiti cha urais

Rais wa Marekani Donald Trump amemtaja meneja wa kampeni zake za urais mwaka 2020.

Brad Parscale mtaalam wa mitandao, alifanya kazi katika kampeni za Trump 2016 na alisifiwa sana kwa kutumia mitandao ya kijamii vizuri jambo linalotajwa kumpa ushindi Trump.

Parscale atatumika katika kampeni za uchaguzi mdogo baadae mwaka huu.Image captionBrad Parscale anatajwa kuwa amebobea vilivyo katika masuala ya mitandao

Trump anasema Parscale ni mtu sahihi na amekuwa akifanya kila kitu kwa uhakika wa hali ya juu.