WATU SITA WAUAWA KWENYE MAANDAMANO DRC - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

Monday, 22 January 2018

WATU SITA WAUAWA KWENYE MAANDAMANO DRCNDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.

Image captionPolisi nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo wakitawanya waandamanaji

Waandamanaji sita wameuawa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo kufuatia makabiliano na polisi waliokuwa wakizima maandamano yanayoendelea kusambaa nchini humo kumshinikiza rais Joseph Kabila kuondoka madarakani,hii ikiwa ni kwamjibu wa taarifa za umoja wa mataifa.

Polisi wametuimia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji mjini Kinsasa,ambapo maandamano kama hayo pia yanaendelea katika miji mingine ndani ya taifa hilo.

Msemaji wa umoaja wa mataifa nchini Jamhuri ya Congo amesema kuwa Zaidi ya watu 50 walijeruhiwa siku ya jumapili.

Waziri wa zamani Jean Baptise Sondji ameliambia shirika la habari la AFP kwamba alishuhudia mauaji ya mtoto mwenye umri wa miaka 16 nje ya kanisa eneo la Kitambo mjini Kinsasa.

Serikali ya Congo imepiga marufuku maandamano ya aina yoyote.Siku ya jumamosi mawasiliano ya internet yalikatwa mjini Kinshasa.EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO


EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ