BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 28 January 2018

WASIRA ATAJA SABABU ZA KUWATAJA CHADEMA MARA KWA MARA KATIKA MIKUTANO YAO


‘Msishangae sisi Kuwataja CHADEMA Hapa, Hao ndio Mashetani Wetu Hapa’-Wasira
Chama cha Mapinduzi (CCM) kilifanya uzinduzi wa kampeni katika viwanja vya Biafra kwa ajili ya kumnadi mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni Maulid Mtulia, miongoni mwa waliopanda katika jukwaa hilo ni aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen Wasira,

Wasira ameeleza sababu kwa nini wanakitaja Chama cha CHADEMA katika mikutano yao na kusema chama hicho ndio shetani wao kwa hiyo lazima wakitaje. Pia akakumbushia hotuba ya Mgombea Urais wa CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka 2015 na kusema ilikuwa fupi kuliko sala ya “Baba yetu uliye Mbinguni”
NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment