RIDHIWANI KIKWETE AKANUSHA MADAI YA KUKASHIFU CHAMA CHA CCM - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 23 January 2018

RIDHIWANI KIKWETE AKANUSHA MADAI YA KUKASHIFU CHAMA CHA CCM


Image result for RIDHIWANIKIKWETE
Mbunge wa Chalinze kupitia Chama cha Mpainduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete amekanusha ujumbe unaosambazwa katika mitandao ya kijamii ukidai kuwa amekikosoa chama hicho kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wake.Akizungumza jana jioni, Ridhiwani amewataka watanzania na wanachama wa CCM kupuuza taarifa hiyo kwani siyo yeye ameitoa na badala yake ni watu wenye lengo lakukiharibu chama hicho.


Amesema kwamba, kwa siku nzima ya jana hajaandika ujumbe wowote na kwamba alikuwa jimbo kwake katika vikao vya halmashauri wakipanga mipango ya bajeti kwa ajili ya maendeleo ya jimbo hilo.
NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment