NAFASI ZA KAZI 60 KUTOKA KAMPUNI YA PRIMEFUELS TANZANIA LIMITED - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 15 January 2018

NAFASI ZA KAZI 60 KUTOKA KAMPUNI YA PRIMEFUELS TANZANIA LIMITED

Image result for AJIRA
Full Details

nafasi za kazi MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA NAFASI 60

PRIMEFUELS TANZANIA LIMITED ni kampuni unayohusika na usafirishaji wa mizigo tofauti yenye asili ya vimiminika (fluids) na mali yabisi (dry carggo)

PRIMEFUELS TANZANIALIMITED inahitaji madereva wenye WELEDI, UZOEFU NA UADILIFU wa hali ya juu usio na shak na mtu yoyote au taasisi yoyote ndani na nje ya nchi

waombaji wa nafasi hizi wanatakiwa kuwa na vigezo vifuatavyo wakizingatia vigezo vikuu vitatu tajwa hapo juu
- UMRI USIPOUNGUA MIAKA 25 NA USIZIDI MIAKA 45
- elimu kidato cha 4 na kuendelea
- afya inayostahamili safari za ndani na nje ya nchi
- uzoefu wa kuendesha magari makuba usiopungua miaka mitano
- uwezo wa kusoma na kuandika lugha ya kiswahi na kingereza fasaha
- ujuzi na uzoefu wa kuendesha gari za kusafirishia mafuta (tankers)
- leseni ya udereva yenye sifa ya ya kuendesha magari makubwa
- nyaraka za kusafiria (passport)
- picha 3 za rangi ppassport
- barua za wadhaminiwawili zenye picha zao na anuani za makazi yao
- barua ya serikali ya mtaa unapoishi ikiwa na namba ya simu ya kiongozi wa wa serikali ya mtaa aliyekupa barua hiyo

maombi yote yaletwe ofisin kwetu kuanzia tarehe 15 Januari 2018 kwa njia ya mkono na kukabidhi kwa walinzi wetu na kujaza kwenye kitabu maalum .

ofosi zetu zipo kipawa kiwanja namba 139, NYERERE ROAD , mkabala na uwanja wa ndege , maombi yote yaelekezwe kwa

MENEJA - RASILIMALI WATU,
PRIMEFUELS TANZANIA LIMITED
S.L.P 2873,
DAR ES SALAAM

Mwisho wa upkea maombi hayo nitarehe 31 -01-2018

ZINGATIA
- watakao chaguliwa watapigiwa simu na ofisi kwa mchakato
- epuka kutapelia fedha au kitu chochote cha thamani kwa ahadi ya kupata upendeleo wa ajira ndani ya PRIMEFUELS

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment