MAPACHA WATATU WALIOZALIWA WAPEWA MAJINA YA VIONGOZI WA CHADEMA - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 12 January 2018

MAPACHA WATATU WALIOZALIWA WAPEWA MAJINA YA VIONGOZI WA CHADEMA


Mama Aliyejifungua Watoto Watatu Mapacha Awapa Majina ya Viongozi Chadema Mbowe, Lissu na Halima

Mwanamke mmoja Martha Haule mkazi wa Sumbawanga mkoani Rukwa amejifungua watoto mapacha watatu na kuwapatia majina ya Halima Mdee (wa kike) pamoja na Mbowe(Freeman) na Lissu (Tundu).

Taarifa iliyotolewa na Chadema Kanda ya Nyasa na kuthibitishwa na mwenyekiti wa kanda hiyo, Mchungaji Peter Msigwa imeeleza kuwa watoto hao ambao wana mwezi mmoja wamezaliwa kufuatia mwanamke huyo kupata uchungu ghafla baada ya kusikia Mwenyekiti huyo wa Baraza la Wanawake wa Chadema(Bawacha), Mdee atazuru Sumbawanga na kutembelea kikundi chao cha Wanawake Tunaweza kilichopo katika Kata ya Mafulala.

Mwenyekiti huyo wa Bawacha leo Alhamisi Januari 11 akiwa katika siku ya pili ya ziara yake yenye lengo la ujenzi na uenezi wa chama ikiwa ni pamoja na kuangalia uhai wa baraza hilo.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO


EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment