KAULI YA MAREKANI JUU YA IRAN - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

Wednesday, 3 January 2018

KAULI YA MAREKANI JUU YA IRAN


Balozi wa Marekani katika umoja wa mataifa, Nikki Haley

Marekani imetoa kauli juu ya kile kinachoendelea nchini Iran, kwamba inampango wa kuitisha kikao cha dharula ina mpango wa kuutaka Umoja wa Mataifa utangaze hali ya hatari ya kipindi cha mpito katika kikao kijacho cha baraza la usalama la umoja wa mataifa , wakati ambapo waandamanaji wanaoipinga serikali wameendeleza maandamano kwa siku ya sita sasa.

Balozi wa Marekani katika umoja wa mataifa, Nikki Haley, amesema kwamba hali ilivyo nchini Iran huenda suala hilo likajitokeza katika kikao cha baraza la haki za binaadamu la umoja wa maifa mjini Geneva.

Alitupilia mbali madai ya udanganyifu yaliyotolewa na serikali ya nchi hiyo kuwa maandamano yanayojiri nchini mwake yaliandaliwa na vikosi vya nchi za nje.

Marekani tayari imekwisha chukua hatua ya ya kuitaka nchi ya Teheran kuweka sheria kali zitakazo dhibiti vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii wakati wote wa kipindi hiki cha mpito.

Nayo serikali ya Iaran imetoa tamko la kuwepo kwa mikutano shirikishi ya hadhara leo Jumatano katika maeneo ambayo maandamano yameshika kasi na nguvu zaidi.EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ