KAMPUNI YENYE UMILIKI WA AIRTEL YAPINGA VIKALI TAARIFA YA KAMATI - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 13 January 2018

KAMPUNI YENYE UMILIKI WA AIRTEL YAPINGA VIKALI TAARIFA YA KAMATI


Kampuni ya Bharti Airtel inayomiliki kampuni ya Airtel Tanzania, imeipinga taarifa ya kamati iliyoundwa kuchunguza umiliki wake iliyotolewa na Waziri Mpango juzi. 

Taarifa ya Bharti iliyotolewa jana imesema uwekezaji wake ulifuata Kanuni, Sheria na Taratibu zote za nchi.


Embedded

No comments:

Post a Comment