BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Thursday, 18 January 2018

HIKI NDIO KISA KILICHO WAFUKUZISHA KAZI WALIMU 28 ZANZIBARNDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.

Zanzibar. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imewafukuza kazi walimu 28 baada ya kugundulika kufanya ubadhirifu wa zaidi ya Sh100.4 milioni.

Akizungumza na waandishi wa habari Ikulu Mjini Zanzibar leo Jumatano, Katibu Mkuu Kiongozi, Abdul-Hamid Yahya Mzee amesema pamoja na kufukuzwa kazi walimu hao waliokua wakichukua mishahara hewa lakini pia wanatakiwa kulipa fedha hizo serikalini.

Amesema uamuzi huo umekuja baada ya uhakiki katika wizara mbalimbali za Serikali ya Zanzibar na kubaini kasoro ambazo watendaji wake walionekana kufanya makosa hayo kwa makusdi.

Amesema sababu za kufukuzwa kwa walimu hao ni kuchukua fedha za mishahara bila ya kuwepo kazini kwa muda mrefu huku wakishindwa kabisa kutoa taarifa kwa wahusika.

Mzee amesema kwa mujibu wa takwimu zao katika uchunguzi huo zinaonyesha watumisihi 46 wa Wizara ya Elimu visiwani hapa wamekuwa wakilipwa mishahara bila ya kustahiki kulipwa fedha hizo.

“Kwa mujibu wa takwimu zetu zinaonyesha kuwa watendaji waliokosa kuripoti kazini kwa muda mrefu ni 20 wagonjwa 8 na 6 hawakujitokeza kabisa katika uhakiki huo huku wengine wakishikiliwa kwa makosa mbalimbali.’’

 EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment