GOODNEWS: MOSHI POULTRY YA SHUSHA NEEMA KWA WAFUGAJI NA WANUNUZI WA KUKU NCHINI | EDUSPORTSTZ -->

Type something and hit enter

OnPakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Moshi Poultry na wataalamu wa kutotoresha vifaranga vya kuku wanakuretea fursa na huduma safi na makini ya ufugaji kuku wa kisasa na kienyeji pamoja na ngwiji mahiri katika huduma ya utotoreshaji wa vifaranga.

Moshi Poultry imeyapokea maoni na ushauri wa wateja juu ya utoaji wa huduma zao mikoani na kuweka bei ambazo kila mfugajia anaweza kuzimudu na kutengeneza faida.

Hivyo basi moshi poultry inapenda kuwa taarifu watanzania na wafanya biashara wa kuku kuwa kwa sasa bei na huduma zao kwa sasa nikama ifuatavyo;

 Unakaribishwa saana!!!!

vifaranga wa kienyeji,Na chotara kama Malawi,Kuroila,Na saso!
Bei  nikama ifua tavyo....

1.siku moja ni 2200/=
2.Wiki moja 2500/=
3.wiki mbili 3000/=
4.wiki tatu 4000/=
5.mwezi 5000/=
Pia kwa waitaji wa kuku wakubwa usisite kuwasiliana nao ili kupewa taarifa kamili.

BIASHARA NI WEWE, KARIBU TUIJENGE NCHI YETU, WEWE KWETU NI MFALUME

Karibuni  sana offer pia ya bei itapungua kulingana na idadi ya maitaji yako, kwetu mteja ni mfalume.

Timiza ndoto zako sasa,kuku wetu pia wamepatiwa matibabu na wataalamu wa maswara ya mifugo.

Note Kwateja wa moshi Na arusha utaletewa ulipo ukichukua kuanzia kuku au vifaranga 100. Na kwa Wateja wa mikoani unalipia usafirishaji na jukumu letu ni kuhakikisha mzigo unakufikia.

KIKUBWA ZAIDI, wanatoa pia ushauri wa chanjo Na namna  yakutengeneza mabanda ufugaji nq huduma safi kwa kuku.

Wapo  moshi uru Na shanti town.🐣🐥
Contacts
Moshi Poultry
0754469193.....0719081615
E-mail paulskawa@gmail.com
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO


EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ
Pakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Click to comment
 
Blog Meets Brand