Type something and hit enter

On

Rais wa Sudan kusin,Salva Kiir

Kumekuwa na maandamano katika nchi ya Sudan kusini mara baada ya gharama ya mkate kuongezeka mara mbili mara baada ya serikali ya nchi hiyo kufanya maamuzi ya kuondoa ruzuku.

Huko magharibi mwa Darfur, mwanafunzi mmoja aliyekuwa katika maandamano aliuwawa na wengine sita kujeruhiwa mara baada ya maandamano hayo kugeuka kuwa ya fujo.Ramani inavyoonesha Sudan kusini

Katika mji mkuu wa Khartoum, polisi walitumia mabomu ya machozi kusambaratisha watu ambao walikuwa wamefunga barabara na kuchoma matairi.

Naibu waziri wa mambo ya ndani alikanusha kuwa maandamano hayo yameanza kutokana na ongezeko la bei na kuahidi kuwa atawashughulikia wale wote waliokuwa wanafanya maandamano yenye fujo.

Maamuzi ya kuongeza bei ya mkate kwa serikali ya Sudan ni sehemu ya kufuata matakwa ya IMF ili kukuza uchumi wa nchi hiyo.

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.

BOFYA HAPA KUJIUNGA NA MASHINDANO YA INNOVATION FURSA CHALLENGE 

http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ
Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Click to comment