WAZIRI LUKUVI AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 17 December 2017

WAZIRI LUKUVI AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC)Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wiliam Lukuvi amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Mchechu kupisha uchunguzi.

Katika taarifa iliyotolewa na katibu mkuu wa wizara ya ardhi Doroth Mwanyika imebainisha kumsimamisha Mchechu kwa mamlaka aliyopewa waziri Lukuvi kupitia kifungu F. 35 cha kanuni za utumishi wa umma za mwaka 2009.
Waziri Lukuvi pia ametoa agizo kwa bodi ya Shirika hilo kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa huduma za mikoa na Utawala Raymond Mndolwa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili watendaji hao.

.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno

No comments:

Post a Comment