TANZIA: JOEL BENDERA AFARIKI DUNIA - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Thursday, 7 December 2017

TANZIA: JOEL BENDERA AFARIKI DUNIAMkuu wa Mkoa wa Manyara Joel Bendera amefariki dunia jioni ya jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa anapatiwa matibabu.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Aminiel Eligaisha amethibitisha kifo chake na kueleza kuwa Bendera alifikishwa hospitalini hapo Saa 6:03 mchana na kupelekwa katika wodi ya magonjwa ya dharura na ilipofika saa 10:24 jioni alifariki dunia.

Marehemu amewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, pia Mbunge wa Morogoro, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kwenye Serikali ya Awamu ya Tatu.

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno

No comments:

Post a Comment