;
MAPOROMOKO YAFUNIKA KIJIJI KIZIMA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 17 December 2017

MAPOROMOKO YAFUNIKA KIJIJI KIZIMA


Maporomoko ya ardhi yafunika kijiji kizima Chile

Maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa yamawaua yamewaua takriban watu watano kusini mwa Chile na kuharibu nyumba kadhaa

Watu 15 hawajulikani waliko katika kijiji kilicho mbali cha Villa Santa Lucía kilicho maarufu kwa watalii.
Rais Michelle Bachelet ametangaza hali ya tahadhari eneo hilo.

Maelfu ya watu wamebaki bila umeme na kutengwa kwa kiasi kikubwa na sehemu zingine za Chile.Haki miliki ya pichaAFPImage captionMaporomoko ya ardhi yafunika kijiji kizima Chile

Sehemu ya bonde ambapo vijiji vipo kilomita 1,100 kutoka mji mkuu Santiago, lilifunikwa na matope kutoka kwa milima iliyo karibu.

Vyombo vya habari vinaripoti kuwa eneo hilo limekumbwa na mvua kubwa isiyo ya kawaida kwa muda wa saa 24 zilizopita.

Watu kadha wamesafirishwa kwa ndege na kupelekwa mji ulio karibu wa Chaitén.

Makundi ya uokoaji yanatafuta manusura.Maporomoko ya ardhi yafunika kijiji kizima Chile


EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB