SPIKA NDUGAI:DODOMA IPO SALAMA - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Wednesday, 8 November 2017

SPIKA NDUGAI:DODOMA IPO SALAMA


Spika wa Bunge, Job Ndugai amewahakikishia wabunge kuwa, ulinzi umeimarishwa na kwamba Dodoma ni salama kuliko wakati wowote ule hivyo wasiwe na hofu.Hii imetokana na waswas uliotanda miongoni mwa wawakilishi wa wananchi waliopo bungeni hapo huku miongoni mwao wakitoa matamko mbalimbali yakionyesha kuwa wanatishiwa ama kufatiliwa na watu wasiojulikana.

Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment