SPIKA JOB NDUGAI AMUANDIKIA MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUMJULISHA HILI - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 3 November 2017

SPIKA JOB NDUGAI AMUANDIKIA MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUMJULISHA HILI
Spika wa Bunge amemauandika barua Mwenyekiti wa NEC kumjulisha kuwa Jimbo la Singida Kaskazini li wazi.Hatua hii imekuja baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo ndg Lazaro Nyalandu kujihudhuru nyazifa zake zote nakukihama chama  chama cha mapinduzi CCM nakuhamia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA
 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI