SEKRETARIETI YA AJIRA YATANGAZA ALAMA ZA KUPATA KWENYE USAILI ILI UAJIRIWE - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD EDUSPORTSTS NEWS APP HAPA

Wednesday, 1 November 2017

SEKRETARIETI YA AJIRA YATANGAZA ALAMA ZA KUPATA KWENYE USAILI ILI UAJIRIWE

Alama za Ufaulu

Alama za ufaulu hutegemea na nafasi iliyotangazwa kama Kanuni ya 16 (1) (a – c)

Maafisa Watendaji Wakuu wa Taasisi za umma alama 60

Wataaluma katika taasisi za elimu ya juu alama 70

Maafisa na wasio maafisa alama 50

Masuala yanayozingatiwa wakati wa kuwapangia vituo wasailiwa Waliofaulu Usaili kwa Waajiri ni pamoja na;

Ufaulu wao na nafasi zinazohitajika kulingana na kibali kilichowasiliswa pamoja na sifa zilizoainishwa.

Kipaumbele kwa walemavu kwa mujibu wa Kanuni ya 17 (2) kama inavyoelekeza pindi msailiwa akiweza kufikia ufaulu sawa na wengine.

Kutoa kipaumbele kwa wanawake pale wanapofungana kwa ufaulu sawa na wanaume.

Endapo wasailiwa waliofaulu na kufungana maksi ni wa jinsia moja mwenye umri mkubwa atapewa kipaumbele.

Wasailiwa waliopo kwenye kanzidata hupangiwa kazi kwa kuzingatia ufaulu wao na baada ya kuridhia kwenda kwa mwajiri husika.

All the bestlike facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI