NAFASI ZA KAZI KUTOKA GAZETI LA RISASI - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Wednesday, 8 November 2017

NAFASI ZA KAZI KUTOKA GAZETI LA RISASI
SALEEM NUTRITION ADDITIONAL NAFASI: Kutembeza Bidhaa SIFA: Awe mkazi wa Morogoro Mjini, Awe na umri usiozidi miaka 20, Awe ana uzoefu wa kufanya biashara za kutembeza mjini mfano vitumbua, maji, dagaa, crips, mikate, n.k, awe muaminifu, mwenye bidii ya kazi, na mkarimu kwa wateja.

MAWASILIANO: 0625 91 37 84 Mwisho wa kutuma maombi ni Novemba 30, mwaka huu.*** IMANI SCHOOLS NAFASI: Walimu ya shule ya msingi SIFA: Wenye elimu na vigezo vinavyokidhi mahitaji ya elimu ya msingi, wenye kupenda kazi zao na wanaojituma

MAWASILIANO: 0756 598752 Mwisho wa kutuma maombi ni Desemba 30, mwaka huu.*** PEACE CORPS TANZANIA NAFASI: Dereva/Fundi magari SIFA: Cheti cha kidato
cha nne, leseni Class C, Cheti ya Ufundi kutoka chuo kinachofahamika, uzoefu wa kazi angalau kwa miaka minne, asiye na rekodi ya ajali, mwenye ufahamu na njia na miji yote Tanzania, anayezungumza Kingereza kwa ufasaha na anayeweza kufanya kazi kwa kujituma.

MAWASILIANO: Director of Management & Operations, U.S. Peace Corps Tanzania, P. O. Box 9123, Dar es Salaam.
Mwisho wa kutuma maombi ni Novemba 14, mwaka huu.

*** NESHVILE SCHOOL OF BEAUTY AND DESIGN NAFASI: Msusi SIFA: Awe anajua kutengeneza nywele hasa mwenye ujuzi wa kushonea weaving na kusokota dread.

MAWASILIANO: 0713 016026 Mwisho wa kutuma maombi ni Novemba 10, mwaka huu.

Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI