MZEE WA MIAKA 60 AUAWA NA KUTELEKEZWA BARABARANI - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Wednesday, 1 November 2017

MZEE WA MIAKA 60 AUAWA NA KUTELEKEZWA BARABARANI


Mzee wa Miaka 60 Ameuwawa na Kukatwa Sehemu za Siri

Polisi jijini Nairobi nchini Kenya wanafanya uchunguzi juu ya tukio la kuuawa kwa mzee wa miaka 60 na mwili wake kutelekezwa barabarani,

Mwili huo ambao uligunduliwa leo asubuhi katika eneo la Riruta huku sehemu zake za siri kukutwa zikiwa zimekatwa.
Mwili huo wa marehemu ambao bado haujajulikana ni nani, umepelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti wakati uchunguzi dhidi ya waliohusika na mauaji hayo ukiendelea.

 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment