MBUNGE WA SONGEA MJINI LEONIDAS GAMA AMEFARIKI DUNIA - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 24 November 2017

MBUNGE WA SONGEA MJINI LEONIDAS GAMA AMEFARIKI DUNIAMbunge wa Songea Mjini (CCM), Leonidas Gama enzi za uhai wake.

Mbunge wa Songea Mjini (CCM), Leonidas Gama, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Peramiho alikokuwa anapatiwa matibabu. Chanzo cha kifo chake hakikujulikana mara moja..

Marehemu alipata kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Mkuu wa Wilaya kadhaa zikiwemo Ilala, Muheza, Nachingwea, Newala na Mbeya. Mola ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi – Amina

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji

Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno

No comments:

Post a Comment