ALIYEBAKA WALIMU NA WANAFUNZI AKAMATWA - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 3 November 2017

ALIYEBAKA WALIMU NA WANAFUNZI AKAMATWA


Kijana Aliyevamia Shule na Kubaka Walimu na Wanafunzi Akamatwa


Polisi imemdaka kijana alievamia shule na kujaribu kubaka Walimu na Wanafunzi kwa mkupuo Arusha.

Ndio utajiuliza aliwazaje au kuanzaanza vipi kufikiria kwamba anaweza kuvamia shule na kuwabaka kwa mara moja Walimu pamoja na Wanafunzi.

Hata hivyo kijana huyo aitwae Musa Shakifu hakufanikiwa kwenye jaribu hilo la kuvamia shule ya Msingi Oltroto iliyopo Arumeru na tayari Jeshi la Polisi limemdaka ambapo Kamanda wa Polisi Charles Mkumbo amesema wanaendelea kumuhoji.Mwalimu wa zamu kwenye shule hiyo amekiri kuvamiwa na kijana Musa ambae alionekana kutumia nguvu za kupitiliza kutaka kuwabaka kwa mkupuo Waalimu pamoja na Wanafunzi like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment