FURSA MPYA KWA WAFANYA BIASHARA, TAASISI NA MAKAMPUNI BINAFSI - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 7 November 2017

FURSA MPYA KWA WAFANYA BIASHARA, TAASISI NA MAKAMPUNI BINAFSI


EDUSPORTSTZ FAHARI YA WASOMAJI NA MTANDAO UNAOKUA KWA KASI NCHINI TANZANIA,
INATANGAZA FURSA KWA WAFANYA BIASHANA NA MAKAMPUNI YANAYOTAKA KUPANUA BIASHARA ZAO KATIKA KIPINDI HIKI CHA MSIMU WA CHRISTMAS KAMA IFUATAVYO:

1: Kutanganza biashara yako kwa gharama ya shilingi elfu 10,000 kwa mwezi +1week free offer
2; kukuunganisha na Wateja wa bidhaa yako Katika mitandao ya kijamii yaani digital Marketing.

3; 3 free week trial kwa makampuni na wafanyabiashara watakao taka kutangaza nasi kwa zaidi ya kipindi cha miezi 6.

4: Kutoa ushauri wa bure kwa Wateja wetu Ili kupanua kipato na kuongeza Thaman ya bidhaa au Huduma yako.

5;kufanya kazi na wewe bega kwa bega punde msaada wa ghafla unapohitajika.

VIGEZO
1; Mteja wa offer inatakia awe banner maalumu inayoonesha Huduma anayoitoa, Kama sivyo itakulazimu kulipa gharama ya shilingi 10,000/=Ili kutengenezewa na wataalamu wetu wa IT.

2: Wateja wa Huduma ya Matangazo kwa mwezi mmoja watalazimika kulipia Ada ya tangazo Mara Tu baada ya tangazo kuonekana mtandaoni. Na kwa Wateja wa Huduma ya matangazo zaidi ya miezi 6 watalipa Ada ya nusu ya miezi ya Matangazo.mfano miezi 6=30,000/=

3: Kwa Huduma ya Matangazo, Andika Neno Tangazo, acha nafasi Na eleza bidhaa au huduma unayotaka kutangaza KWENDA NAMBA
+255757441463
+255674517224 pia ambazo zipo whatsapp
Au edusportstz@gmail.com

PIA HATUTAHUSIKA NA ULAGHAI WOWOTE UTAKAOFANYIKA KINYUME NA WASILIANO YALIYOTOLEWA HAPO JUU.

KARIBU UKUZE NA KUPANUA BIASHARA YAKO SASA

                                       EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads
For Booking>>>
CALL>>>
Voda: +255757441463
JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI

No comments:

Post a Comment