DC AIPA SIKU SABA HOTEL KULIPA SH MILLION 32.5 - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 3 November 2017

DC AIPA SIKU SABA HOTEL KULIPA SH MILLION 32.5


Deni la Milioni 32.5 Zaiweka Hatarini Hoteli ,DC Atoa Ziku Saba Kulipa Deni Hilo


Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama wilaya ya Kahama Fadhil Nkurlu ametoa siku saba kwa uongozi wa hoteli ya Mongo kulipa deni la mapato ya serikali shilingi milioni 32.5 na kuwalipa fidia waandishi wa habari walioibiwa vifaa vya kazi wakati wamelala hotelini hapo.

Nkurlu ametoa maagizo hayo leo Ijumaa baada ya kutembelea hoteli hiyo kutokana na uongozi kukaidi agizo la Mamlaka ya Mapato(TRA) la kulipa kiasi hicho kabla au ifikapo Julai 5.

Meneja wa TRA Mkoa wa Kodi wa Kahama, Jacob Mtemang’ombe amethibitisha hoteli hiyo kudaiwa Sh30 milioni inayotokana na kodi ya asilimia 10 ya mauzo yaliyofanyika zaidi ya mwaka mmoja uliopita.
like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment