BWANA HARUSI MTARAJIWA APIGWA RISASI SIKU MOJA KABLA YA HARUSI - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Thursday, 9 November 2017

BWANA HARUSI MTARAJIWA APIGWA RISASI SIKU MOJA KABLA YA HARUSIBwana harusi apigwa risasi sehemu nyeti siku moja kabla ya ndoa Misri


Bwana harusi mmoja chini Misri amepatwa na bahati mbaya ya ajali siku moja kabla ya harusi yake.

Wakati sherehe ilikuwa ikifanyika siku moja kabla ya harusi yake, risasi zilizofyatuliwa kusherekea zilimpiga mguuni, mkononi na sehemu ya nyeti ya uume wake.

Polis waliwaambia waandishi wa habari kuwa bwana harusi alipelekwa hospitalini huku uchunguzi ukiendea.

Mwanamume aliyetajwa kufyatua risasi hizo anaripotiwa kutoroka, lakini baaadaye alikamatwa na polisi.

Kisa hicho kimezua shutuma kwenye mitandao huku watu wengi wakitaka tamaduni ya kufyatua risasi wakati wa sherehe kukomeshwa.
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno

No comments:

Post a Comment