AJALI YA TRENI YAUA WATU 33 - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 13 November 2017

AJALI YA TRENI YAUA WATU 33


Chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana

Radio ya umoja wa mataifa nchini DRC imesema takriban watu 33 wamefariki katika ajali ya treni.

Ajali hiyo imetokea katika mji wa Buyofwe Kusini mwa jimbo la Lualaba.

Taarifa kutoka Radio Okapi zinasema treni hiyo ilianguka kisha kuwaka moto.

Gavana wa jimbo la Lualaba Richard Muyej ameiambia BBC kwamba kuna ajali iliyotokea lakini haifahamiki ni watu wangapi waliofariki.

Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno

No comments:

Post a Comment