EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au
kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati
http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
Katika historia ya kandanda nchini Tanzania majina mengi ya wachezaji wa miaka mbalimbali yamekua yakitajwa, kwa wale waliwashuhudia wachezaji wa miaka ya 1930, 1940 na 1960
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Novemba 29, 2017 amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simo Sirro kuwakamata Bw. Bahman wa Kampuni ya NAS na Wakala wa Kampuni wa Wallmark Bw. Samwel kwa kutaka kutoa Bandarini magari makubwa 44 aina ya Semi Trailer bila ya kulipa kodi kwa kutumia jina la Waziri Mkuu.
Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT Wazalendo), Zitto Kabwe amesema licha ya Serikali kuonyesha juhudi za kukabiliana na rushwa, jitihada hizo hazitakuwa endelevu endapo taasisi za uwajibikaji hazitaachwa zifanye kazi kwa uhuru na uwazi.
DAKTARI Louis Shika ambaye alipata umaarufu mkubwa baada ya jaribio lake la kununua nyumba za mfanyabiashara Said Lugumi, ametoa mpya baada ya kudai kuwa anaguswa na muziki wa mkongwe Rehema Chalamila ‘Ray C’.
Zitto Kabwe amefunguka na kusema kitendo cha Makamu wa Rais Mhe. Samia kupokelewa na Balozi Kenya ni ishara kuwa mahusiano ya Tanzania na Kenya hayapo vizuri na kudai Rais Magufuli kutokwenda kwenye sherehe za kuapishwa Kenyatta inaweza kueleweka.
Hatimaye Rais Uhuru Kenyatta ameapishwa rasmi kwa muhula wa pili wa miaka mitano katika sherehe zilizofana kwenye Uwanja wa Kasarani mwezi mmoja baada ya kuibuka mshindi wa uchaguzi uliosusiwa na mpinzani mkuu Raila Odinga.
Jakaya Mrisho Kikwete ni Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo sasa ni zaidi ya miaka miwili toka amalize miaka yake kumi ya Urais.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
MSIMAMO WA #VPL: Baada ya mechi sita za raundi 11, Singida United, Mbao FC na Ruvu Shooting zimejisogeza juu, huku mnyukano mkali ukiwa kuanzia nafasi ya nane hadi 13 ambapo jumla ya timu sita zinalingana pointi. Keshi ni Simba Vs Lipuli FC na Jumatatu ni Azam FC vs Mtibwa Sugar
EDUSPORTSTZ inakutakia Usomaji mwema wa habari hii. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au
kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati
http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno