ZAWADI YATANGAZWA KWA ATAKAYEFANIKISHA KUMUONDOA TRUMP MADARAKANI - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 15 October 2017

ZAWADI YATANGAZWA KWA ATAKAYEFANIKISHA KUMUONDOA TRUMP MADARAKANIMchapishaji wa jarida Hustler, Larry Flynt

Mchapishaji wa jarida la picha chafu za utundu, Larry Flynt, amechapisha tangazo katika gazeti la
Washington Post, akiahidi kulipa zawadi ya dola milioni 10, kwa mtu mwenye habari, zitazopelekea Rais Trump kushtakiwa na kuondoshwa madarakani.

Bwana Flynt, anayemiliki jarida la "Hustler", amesema ni wajibu wa kila Mmarekani, kumuondoa Bwana Trump, kabla ya kuchelewa.
Tangazo hilo, linatoa nambari ya simu ya kupiga na anuani ya barua pepe.
Larry Flynt, ambaye alikuwa mfuasi mkubwa wa Hillary Clinton katika kuania urais, ametoa matangazo kama hayo kabla, lakini hakuwahi kutoa zawadi kubwa kama hiyo.
 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment