WANASIASA WAANGUKA NA NDEGE KATIKA ZIWA NAKURU NCHINI KENYA - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 21 October 2017

WANASIASA WAANGUKA NA NDEGE KATIKA ZIWA NAKURU NCHINI KENYA


Ndege moja inayodaiwa kuwa ni ya mmiliki binafsi iliyokuwa imebeba wanasiasa nchini Kenya imeanguka katika Ziwa Nakuru nchini humo.

Taarifa kutoka kwa Mwandishi wetu amesema kwamba Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa na serikali ya nchi hiyoimesema kwamba wealiokuwepo ndani ya ndege hiyo ni wanasiasa wa Jubilee ambao walikuwa wakienda kufanya kampeni
Haijabainika ni wanasiasa wa Kiwango kipi ambao walikuwepo ndani ya ndege hiyo iliyoanguka.
Taarifa iliyotolewa kwa wanahabari naMkuu wa kukabiliana na majanga haijasema chanzo kilichosababisha ndege hiyo kuanguka.
Hata hivyo inadaiwa kwamba nchi hiyo tangu usiku wa kuamkia leo kulikuwa na mvua kubwa.
Msemaji wa serikali anatarajiwa kuzungumza kutoa taarifa kamili pamoja na idadi ya hao wanasiasa.

like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment