UTEUZI WA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI NCHINI TANZANIA - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 8 October 2017

UTEUZI WA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI NCHINI TANZANIA

Image result for MAWAZIRI
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri nchini huku akizigawanya baadhi ya wizara zikiwemo Wizara ya Kilimo na Mifugo, Nishati na Madini na kuongeza wizara mpya mbili na kufikisha jumla ya wizara 21. Katika Mabadiliko hayo, Mawaziri wawili na manaibu waziri wameongezwa.

VIDEO YA RAIS MAGUFULI AKITANGAZA MAWAZIRIlike facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment