TANZANIA KUUFYATA MKIA KWA IDADI YA WANAFUNZI WANAOFIKA CHUO KIKUU - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 24 October 2017

TANZANIA KUUFYATA MKIA KWA IDADI YA WANAFUNZI WANAOFIKA CHUO KIKUU
Tanzania imetajwa kuwa ya mwisho kati ya nchi zilizo Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa kuwa na idadi ndogo ya wanafunzi wanaofika Elimu ya juu.

Takwimu zinaonesha kuwa, kati ya wanafunzi wanaoandikishwa kujiunga na elimu ya msingi nchini ni asilimia 4% pekee ndio wana bahatika kufika elimu ya juu.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria nchini, Prof. Elifas Bisanda, amebainisha hali hiyo Mkoani Morogoro, wakati wa mahafali ya nne ya Shule ya Sekondari Kitungwa, ambapo ametoa wito kwa serikali kupitia Wizara ya Elimu kushirikisha wadau mbalimbali katika kutatua changamoto hiyo.like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment