MAKAMU WA RAIS ATARAJIWA KUWA MGENI RASMI WEEK YA NENDA KWA USALAMA - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 15 October 2017

MAKAMU WA RAIS ATARAJIWA KUWA MGENI RASMI WEEK YA NENDA KWA USALAMAMakamu wa Rais Wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameshawasili mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa Wa Kilimanjaro, Anna Mghwira pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali.

Makamu wa rais anatazamiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Kilimanjaro.


Maadhimisho hayo yatafanyika kesho Jumatatu katika viwanja vya Mashujaa Moshi ikiwa na kauli mbiu isemayo "Zuia ajali tii sheria okoa maisha."

like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment