HAWA NDIO WANAOMUUDHI NAPE NNAUYE,MWENYEWE KAFUNGUKA - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 31 October 2017

HAWA NDIO WANAOMUUDHI NAPE NNAUYE,MWENYEWE KAFUNGUKA


Nape Aeleza Watu Wanaomkwaza na Kumuudhi Kwenye Mitandao ya Kijamii

Mbunge wa Mtama, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Nape Nnauye amefunguka na kusema wapo baadhi ya watu wamekuwa wakimkazwa na kumuudhi kwenye mitandao ya kijamii ambao wamekuwa wakitafsiri vibaya vitu vitu anavyoweka wakidai anamsema Rais.

Nape Nnauye alisema hayo wiki iliyopita alipoongea na mwandishi wa EATV na kusema baadhi ya watu wamekuwa wakichukua baadhi ya vitu anavyoweka kwenye mitandao yake ya jamii na kuanza kusambaza wakimtuhumu kuwa anamsema Rais kitu ambacho anadai si kweli.
Mbunge huyo wa Mtama amesema kitendo hicho cha watu kuchukua maneno yake na kuanza kusema anamzungumzia Rais ni kitu ambacho kimekuwa kikimuumiza sana siku hizi.
"Maana watu kila nifanyalo wanaona kama namsema Rais hili linaudhi na kuniumiza sana siku hizi" alisisitiza Nape Nnauy

 yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment