HATIMAYE OMBI LA NYALANDU LAJIBIWA - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 30 October 2017

HATIMAYE OMBI LA NYALANDU LAJIBIWA


Chadema Yamjibu Lazaro Nyarandu Yakubali Ombi Lake la Kuamia Chama Hicho
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejibu ombi la aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu ambaye leo amejiuzulu wadhifa huo na kukihama chama cha CCM na kuomba kujiunga CHADEMA.

Akiongea na mwandishi wa East Africa Television, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema, amesema CHADEMA inamkaribisha mtu yeyote anayetaka kujiunga na chama hicho, kwani chama cha siasa ni watu.
 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment