HATIMAE NDEGE YA URUSI ILOKUWA IMEPOTEA YAPATIKANA - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 29 October 2017

HATIMAE NDEGE YA URUSI ILOKUWA IMEPOTEA YAPATIKANA


Picha ya mwaka 2011 ya ndege ya Mi-8 helicopter ikiwa Barentsburg

Norway inasema kuwa kundi la watafutaji limepata mabaki ya ndege ya Urusi aina ya helikopta, ambayo ilianguka baharini ikiwa na watu 8 ndani yake.

Ndege hiyo ambayo haikuwa haijulikani iliko tangu Alhamisi, kwa sasa iko chini ya bahari karibu na eneo la Barentsburg, kwa mujibu wa maafisa.

Polisi nchini Norway sasa wanaweza kuwatafuta wale waliokuwa ndani ya ndege hiyo, taarifa hiyo ilisema.

Ofisi ya Urusi huko Barentsburg inasema kuwa wahudumu watano na wanasayansi watatu, walikuwa ndani ya ndege hiyo wote raia wa Urusi na kuna hofu kuwa wamefariki.

Ilikuwa katika safari fupi kutoka Pyramiden kwenda Barentsburg eneo la madini la Urusi.Eneo la madini la Urusi la Pyramiden

like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment